title : Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Popo Bungeni leo.
kiungo : Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Popo Bungeni leo.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Popo Bungeni leo.
Mchungaji Dkt. Getrude Rwaktare akisindikizwa na baadhi ya wabunge kuingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma ili kuapishwa kuwa mbunge wa Viti Maalum, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongoza kikao cha bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, (kulia) bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, (kulia) bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Wengine kutoka kushoto ni Wabunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, Catherene Magige na Joyce Mukya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Popo Bungeni leo.
yaani makala yote Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Popo Bungeni leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Popo Bungeni leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/waziri-mkuu-mhe-kassim-majaliwa-akijibu.html
0 Response to "Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akijibu Maswali ya Papo Kwa Popo Bungeni leo."
Post a Comment