Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso.

Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso.
kiungo : Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso.

soma pia


Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso.

Tarehe 25 mwezi wa tisa msanii wetu wa Pangani Bi Flora Nicholas Mdahila ambaye aliigiza kwenye filamu ya AISHA kama Miriam, mdogo wake wa AISHA aliteuliwa kwa ajili ya TUZO inayoitwa SOTIGUI AWARD, huko Ouagadougou nchi ya Burkina Faso. 
Flora ni mwenyeji wa Kijiji cha Msaraza, kata ya Bushiri. Kuigiza kwenye filamu ilikuwa ndoto yake tangu alipokuwa mtoto.
 Kabla ya kuchaguliwa kushiriki kwenye filamu ya AISHA, Flora alicheza kwenye vikundi mbali mbali vya sanaa hapa Pangani kwa ajili ya kuboresha kipaji chake.  
 Juhudi zake hazikuwa bure.  Wataalamu wa filamu walikiona kipaji chake.  Kwa hiyo aliteuliwa kwa ajili ya kundi la Tuzo ya Sotigui ya Mashariki ya Afrika. Lengo la tuzo hii ni kutangaza na kukuza vipaji vya wasanii wa Kiafrika duniani.
 Filamu ya AISHA ilitengenezwa mwaka 2015  wilayani Pangani kama sehemu ya mradi wa mawasiliano ya shirika la UZIKWASA. 
Ni filamu ya Wanapangani na wasanii zaidi ya asimilia 90 walioigiza kwenye Filamu ni wenyeji wa Pangani. 
Filamu hii ilipata sifa kubwa hapa Tanzania na dunia nzima. Ilifanikiwa kupata tuzo mbali mbali ya kimataifa huko Marekani, Ulaya na  nchi mbali mbali za kiafrika.  
 Sasa ni zamu ya Flora kupata tuzo. Tutaendelea kuwataarifu kuhusu  yatakayotokea. 
 Sisi UZIKWASA tunasikia fahari sana na tunampongeza Flora kwa mafanikio haya makubwa.
Habari kwa Hisani ya Anko Moo


Hivyo makala Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso.

yaani makala yote Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/msanii-flora-nicholas-aliyeigiza-katika_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msanii Flora Nicholas Aliyeigiza Katika Filam ya Aisha Atajwa Kwenye Tunzo Nchini Burkina Faso."

Post a Comment