RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL)

RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL)
kiungo : RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL)

soma pia


RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL)


Mechi namba 16 Kundi A (Friends Rangers 1 v African Lyon 1). Klabu ya African Lyon imepewa Onyo Kali kwa timu yake kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mechi ikiwa na maofisa pungufu, kitendo ambacho ni kinyume na Kanuni ya 14(2b) ya Ligi Daraja la Kwanza. Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 14(3) ya Ligi Daraja la Kwanza.

Mechi namba 20 Kundi A (Mgambo JKT 1 v Mshikamano 0). Klabu ya Mgambo JKT imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kutokana na washabiki wake kuingia uwanjani baada ya filimbi ya mwisho ya mchezo kupulizwa. Adhabu hiyo imezingatia Kanuni ya 42(1) ya Ligi Daraja la Kwanza kuhusu Udhibiti wa Klabu.

Mechi namba 21 Kundi A (Kiluvya United 2 0 v Mshikamano 1). Klabu ya Kiluvya United imepigwa faini ya sh. 100,000 (laki moja) kwa kutohudhuria kikao cha maandalizi ya mechi, kitendo ambacho ni kinyume na Kanuni ya 14(2b) ya Ligi Daraja la Kwanza. Faini hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 14(3) ya Ligi Daraja la Kwanza.

Mechi namba 24 Kundi A (Friends Rangers 0 v JKT Ruvu 3). Klabu ya Friends Rangers imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kutokana na washabiki wake kusababisha mchezo kusimama kwa dakika tano baada ya kumpiga jiwe Mwamuzi Msaidizi. Adhabu hiyo imezingatia Kanuni ya 42(1) ya Ligi Daraja la Kwanza kuhusu Udhibiti wa Klabu.



Mechi namba 28 Kundi A (Mgambo JKT 2 v Ashanti United 1). Klabu ya Mgambo JKT imepewa Onyo Kali kutokana na timu yake kuchelewa kufika uwanjani kwa dakika 13. Adhabu hiyo ni utekelezaji wa Kanuni ya 14(3) ya Ligi Daraja la Kwanza kuhusu Taratibu za Mchezo.



Hivyo makala RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL)

yaani makala yote RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/rungu-la-adhabu-latembea-ligi-daraja-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL)"

Post a Comment