title : MSAMA AUCTION MART YAANZA KUWAKAMATA WATU WOTE WANAOFANYA UHARAMIA WA KAZI ZA SANAA NCHI NZIMA
kiungo : MSAMA AUCTION MART YAANZA KUWAKAMATA WATU WOTE WANAOFANYA UHARAMIA WA KAZI ZA SANAA NCHI NZIMA
MSAMA AUCTION MART YAANZA KUWAKAMATA WATU WOTE WANAOFANYA UHARAMIA WA KAZI ZA SANAA NCHI NZIMA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kukamilisha zoezi la ukamataji wa wezi wa kazi za sanaa kwa kurudufu bila kibali na kuwauzia watu kwenye simu zao za mkononi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria ya haki miliki na haki shiriki.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akiwa amebeba vifaa vilivyokamatwa ambavyo vinatumika kurudufu kazi za wasanii
Askari wa jeshi la Polisi wakiwa wamemkamata mmoja wa wezi wa kazi za wasanii wanaorudufu kwa kutumia kompyuta eneo la Kariakoo
Askari wa jeshi la Polisi wakiwa wamemkamata mmoja wa wezi wa kazi za wasanii wanaorudufu kwa kutumia kompyuta eneo la Kariakoo
Askari wa jeshi la Polisi wakiwa wamemkamata mmoja wa wezi wa kazi za wasanii wanaorudufu kwa kutumia kompyuta eneo la Kariakoo ambapo Msama SAuction Mart inafanya zoezi la kuwakamata watu wanaorudufu kazi za Wasanii kwa kutumia Kompyuta.
Vijana wa kazi kutoka Msama Auction Mart wakipakia vyombo vinavyo tumika kurudufu kazi za wasanii kinyume cha Sheria.
Hivyo makala MSAMA AUCTION MART YAANZA KUWAKAMATA WATU WOTE WANAOFANYA UHARAMIA WA KAZI ZA SANAA NCHI NZIMA
yaani makala yote MSAMA AUCTION MART YAANZA KUWAKAMATA WATU WOTE WANAOFANYA UHARAMIA WA KAZI ZA SANAA NCHI NZIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSAMA AUCTION MART YAANZA KUWAKAMATA WATU WOTE WANAOFANYA UHARAMIA WA KAZI ZA SANAA NCHI NZIMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/msama-auction-mart-yaanza-kuwakamata.html
0 Response to "MSAMA AUCTION MART YAANZA KUWAKAMATA WATU WOTE WANAOFANYA UHARAMIA WA KAZI ZA SANAA NCHI NZIMA"
Post a Comment