MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI

MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI
kiungo : MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI

soma pia


MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI

*Wakutwa na mabomu ya kutupa kwa mkono, risasi 217,wamo Waburundi 
*Mambosasa ataja matukio ya kutisha yaliyofanywa na majambazi hayo

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema leo Novemba 29 mwaka huu maeneo ya Ubungo UFI jijini Dar es Salaam kupitia kikosi kazi maalum cha kupambana na ujambazi kimefanikiwa kuwaua majambazi sita.

Mbali na kuua majambazi hayo wamekamata silaha moja aina ya AK 47, risasi 11, kitambulisho chenye namba OP 0216239 kwa jina la Theophili Manirakiza mkazi wa Rukana Rugombo nchini Burundi na kitambulisho cha kazi kinachotumiwa na kikundi cha CNDD-FDD chenye jina hilo la Theopili Manirakiza katika majibizano ya risasi.

Kamanda Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewaambia waandishi wa habari kuwa majambazi hao wameuawa baada ya mtego uliowekwa na askari kutokana na taarifa za watuhumiwa watatu waliokuwa wamekamatwa.

Amewataja watuhumiwa hao ni Willy Irakozes maarufu kwa jina la mandoo ambaye ni wa Burundi, Jean Mugisha raia wa Burudi na Mtanzania Omary Nassoro ambaye ni Mtanzania na kwamba walikuwa na bunduki tatu aina ya AK47 na magazine 8, risasi 217 na mabomu ya kutupa kwa mkono 8.
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwaua watu sita wanaosadikika kuwa Majambazi katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo huku miongoni mwa wahalifu hao akitambulika kuwa ni raia wa kutoka nchini Burundi akiwa na kitambulisho cha Chama cha CNDD-FDD.Pichani ni kamanda wa polisi wa kanda hiyo SACP LAZARO MAMBOSASA akizungumza na wanahabari.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>


Hivyo makala MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI

yaani makala yote MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/majambazi-sita-sugu-wauawa-dar-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJAMBAZI SITA SUGU WAUAWA DAR KWA KUPIGWA RISASI"

Post a Comment