Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubalianokiungo :
Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano
Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp.Profesa John L. Thornton alipokutana nae wakati wa kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp. Profesa John L. Thornton akiwa na Afisa Uendeshaji wa Barrick Gold Richardc William huku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Florens Luoga nao pia wakiweka saini ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp. Profesa John L. Thornton wakimsikiliza Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba akitoa muhtasari wa ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Afisa Uendeshaji wa Barrick Gold Richardc William na maafisa waandamizi wa kampuni hiyo baada ya kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.
Hivyo makala Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano
yaani makala yote Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/matukio-rais-dk-magufuli-apokea-taarifa.html
0 Response to "Matukio : Rais Dk. Magufuli apokea Taarifa ya Makubaliano"
Post a Comment