MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR
kiungo : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR

soma pia


MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 14 ametembelea Maonyesho ya Wiki ya Vijana yaliyoambatana na Uzimaji wa Mwenge, yaliyofanyika katika viwanja vya Aman, Zanzibar. 

Katika kutembelea maonyesho hayo, Makamu wa Rais aliweza  kutembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na kujionea wananchi wa Zanzibar namna walivyojitokeza kwa wingi kupata Elimu kuhusiana na Bima ya Afya na kupatiwa huduma ya vipimo vya magonjwa yasiyo ambukizwa kama Shinikizo la Damu (BP), Uwiano wa Uzito na Urefu (BMI), Sukari sambamba na ushauri wa daktari. 

Akizungumza alipokuwa katika banda hilo, Makamu wa Rais aliipongeza NHIF kwa kazi nzuri waliyoifanya, na kusisitiza zoezi kama hili la upimaji na utoaji Elimu lifanyike mara kwa mara haswa vijijini au sehemu zilizo pembezoni mwa nchi Bara na Visiwani kwani bado watu hawana uelewa juu ya Umuhimu wa kuwa na Kadi ya Bima ya Afya, na pia kua na desturi ya kucheki afya zao mara kwa mara.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Anjela Mziray amemueleza Makamu wa Rais, kuwa NHIF imejipanga kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na Bima ya Afya na sasa kuna Fao la Toto Afya Kadi ambapo kila mtoto aliye chini ya umri wa miaka 18 atachangia 50,400 tu kwa muda wa mwaka mmoja na kwa mtototo mmoja. 

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zilizoshiriki Maonesho ya Wiki ya Vijana na Uzimaji wa Mwenge yaliyofanyika Kitaifa Zanzibar. Maonesho hayo yalianza rasmi tarehe 8/ 10 na hadi kufikia kilele tarehe 14/10/2017.

NHIF imeshiriki Maonesho kwa kutoa Elimu, kufanya upimaji wa magonjwa yasiyoambukizwa na kusikiliza maoni ushauri au kupokea malalamiko mbalimbali kutoka kwa wadau wa Mfuko huo. Tangu kuanzia ufunguzi wa Maonesho hayo hadi kufikia kilele zaidi ya Wananchi 850 walitembelea banda la NHIF kwa ajili ya kupata Elimu na pia kucheki afya zao. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anjela Mziray alipokuwa akimuelezea juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na NHIF.
mmoja wa madaktari walioshiriki maonesho hayo akimpima sukari mwananchi kwenye banda la NHIF.
wananchi wa Zanzibar wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupima afya zao siku ya kilele cha wiki ya vijana na uzimaji wa mwenge zilizofanyika katika viwanja vya amaan, Zanzibar.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-atembelea-banda-la-nhif.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA NHIF SIKU YA KILELE CHA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA NA UZIMAJI WA MWENGE KATIKA UWANJA WA AMAN, ZANZIBAR"

Post a Comment