title : Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo
kiungo : Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo
Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo
Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.
Baada ya kusimama ligi kuu soka ya Zanzibar na kupisha sherehe za Mwenge zilizohitimishwa leo, mzunguko wa pili wa kanda ya Unguja utaanza leo kwa kupigwa
michezo yote katika uwanja wa Amaan.
Jumapili 15/10/2017 saa 8:00 za mchana JKU vs Chuoni
Jumapili 15/10/2017 saa 10:00 za jioni Miembeni City vs Mafunzo
Jumatatu 16/10/2017 saa 8:00 za mchana Taifa ya Jang’ombe vs Polisi
Jumatatu 16/10/2017 saa 10:00 za jioni KVZ vs Zimamoto
Jumanne 17/10/2017 saa 8:00 za mchana Kipanga vs Charawe
Jumanne 17/10/2017 saa 10:00 za jioni KMKM vs Kilimani City
Jumatano 18/10/2017 saa 10:00 za jioni Black Sailors vs Jang’ombe Boys
Hivyo makala Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo
yaani makala yote Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mzunguko-wa-pili-wa-ligi-kanda-ya.html
0 Response to "Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo"
Post a Comment