title : Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani Chwaka
kiungo : Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani Chwaka
Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani Chwaka
Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
-Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Mzee Bibi Fatma Nyerere akisoma Risala ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Mkurugenzi wa Shirika la Kuhudumia Wazee Duniani(Help Age International)Smart Daniel akitoa hotuba kuhusiana na Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Fatma Gharib Bilal akitoa maelezo kuhusiana siku ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Mgeni Rasmi Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Bihalima Pandu Mkaazi wa Jambiani Kikadini kitambulisho maalum kitakacho msaidia kwa sasa kupata Pensheni Jamii na kumrahisishia huduma mbalimbali za Afya na Usafiri katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisisitiza jambo alipotoa hotuba katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo Ujumbe wa Mwaka huu "Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani Chwaka
yaani makala yote Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani Chwaka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani Chwaka mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kilele-cha-maadhimisho-ya-siku-ya-wazee.html
0 Response to "Kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani Chwaka"
Post a Comment