title : DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI
kiungo : DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI
DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI
Basi la abiria lililokuwa likitoka Makumbusho kuelekea Mbagala Rangitatu limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika eneo la Mtoni Mtongani darajani jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika kwa haraka.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Break Down likiwa tayari kwa kulinyanyua gari hilo toka mtaroni.
Juhudi za kulitoa basi lililoanguka katika mtaro zikiendelea.
Hivyo makala DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI
yaani makala yote DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/daladala-lapiga-mweleka-na-kuingia.html
0 Response to "DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI"
Post a Comment