title : MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YASHIRIKI TAMASHA LA NNE LA BIASHARA VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR
kiungo : MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YASHIRIKI TAMASHA LA NNE LA BIASHARA VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR
MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YASHIRIKI TAMASHA LA NNE LA BIASHARA VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ofisi ya Zanzibar inashiriki kwa mara nyingine tena Tamasha la Nne la Biashara linaloendelea viwanja vya Maisara mjini Unguja Zanzibar kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
Miongoni mwa huduma ambazo Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inatoa kwenye Banda la Maonesho ni kutoa elimu kuhusu Vitambulisho, Kutoa taarifa za Usajili kwa Wananchi ambao wamesajiliwa na hawajapata Vitambulisho vyao, kuanisha matumizi ya Vitambulisho na huduma ya Usajili kwa wageni (foreigners)
Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa Tanzania Zanzibar umekamilika kwa asilimia 99.7 na kwa wale wananchi ambao hawajasajiliwa Usajili unaendelea kwenye Ofisi za Wilaya zilizonguliwa kwenye kila Wilaya Unguja na Pemba.
Wafanyakazi wa NIDA ofisi ya Zanzibar pamoja na Kaimu Mkurugenzi Ofisi ya NIDA Zanzibar (Mwenye Kaunda) wakiwa katika Banda la maonyesho katika viwanja vya Maisara
Wafanya kazi wa NIDA wakijiandaa kumpokea mgeni rasmi kwenye banda lao lililopo viwanja vya Maisara Zanzibar.
Wafanyakazi wa NIDA wakiwahudumia wananchi waliofika katika banda la maonyesho katika viwanja vya Maisara.
Hivyo makala MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YASHIRIKI TAMASHA LA NNE LA BIASHARA VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR
yaani makala yote MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YASHIRIKI TAMASHA LA NNE LA BIASHARA VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YASHIRIKI TAMASHA LA NNE LA BIASHARA VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mamlaka-ya-vitambulisho-vya-taifa-nida.html
0 Response to "MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YASHIRIKI TAMASHA LA NNE LA BIASHARA VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR"
Post a Comment