Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani

Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani
kiungo : Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani

soma pia


Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani

Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobeto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.

Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mobeto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.

Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.

Wakili Zulu amesems leo Alhamisi amesema mteja wao Hamisa Mobeto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi na kumtaka apeleke matunzo ya mtoto ndani ya siku saba.

“Baada ya kuona kimya tulipeleka kesi katika Mahakama ya Kisutu upande wa watoto  (The Juvenile Court Of Dar es Salaam) na leo(Alhamisi) tumepewa barua ya wito na tayari mwanasheria wa mwanamuziki huyo ameipokea,” amesema.

Zulu amesema kesi hiyo itaanza kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu.


Hivyo makala Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani

yaani makala yote Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/hamisa-mobeto-ampeleka-diamond.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani"

Post a Comment