NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA

NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA
kiungo : NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA

soma pia


NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA

Na Veronica Simba - Dodoma

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linawajibika ipasavyo kwa wateja wake ili kukuza imani yao kwa shirika hilo.

Akizungumza na viongozi mbalimbali wa shirika hilo wa Mkoa wa Dodoma, leo Oktoba 17, 2017, Naibu Waziri amebainisha kuwa mojawapo ya njia muhimu ya uwajibikaji kwa jamii ni kupitia utoaji taarifa kwa wateja kuhusu masuala mbalimbali yanayowahusu.

“Mathalani, kunapokuwa na katizo la umeme, wateja walioko eneo husika wanapaswa kutaarifiwa kabla ya katizo hilo ili wajipange,” alisisitiza.

Ameeleza njia nyingine ya shirika hilo kuwajibika kwa jamii, kuwa ni kushughulikia matatizo mbalimbali ya wateja wao kwa wakati na kuachana na utaratibu wa kufanya kazi kwa mazoea.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Dodoma (hawapo pichani), alipowatembelea kwa lengo la kujitambulisha kwao na kueleza vipaumbele vyake vya kazi.
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Dodoma, Zakayo Temu (kushoto), akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa Ofisi yake kwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kulia), wakati Naibu Waziri alipotembelea Ofisi hiyo na kuzungumza na viongozi.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (aliyesimama) akizungumza na viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Dodoma, alipotembelea Ofisi hizo leo Oktoba 17, 2017.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-mgalu-aitaka-tanesco.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI MGALU AITAKA TANESCO KUWAJIBIKA IPASAVYO KWA WATEJA"

Post a Comment