Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China

Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China
kiungo : Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China

soma pia


Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China



NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (wapili kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa KIanali mstaafu Ngemela Lubinga.

Ujumbe wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM_Bara Rodrick Mpogo na ujumbe wa Naibu Waziri wa mamambo ya Nje wa CPC, wakishangilia baada ya mazungumzo kumalizika.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).

Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo

Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo

Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo

Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katribu wa NEC Siasa na Uhusian9o wa Kimataifa kanali Mstaafu Ngemela

NAIBU Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo hayo
UGENI HUU SAFI SANA, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akimwambia Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole baada ya wageni kluondoka baada ya mazungumzo. PICHA NA BASHIR NKOROMO.


Hivyo makala Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China

yaani makala yote Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/siasa-naibu-katibu-mkuu-bara-afanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Siasa : Naibu Katibu Mkuu- Bara Afanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka China"

Post a Comment