Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato

Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato
kiungo : Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato

soma pia


Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato





Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko, Uongezaji thamani na Huduma za Kifedha Vijijini(MIVARF), imefanikiwa kupunguza umasikini wa kipato na kuimarisha uhakika wa chakula katika Halmashauri 73 zinazotekeleza program hiyo kwa Tanzania Bara na Visiwani.


Akiongea wakati wa Mkutano wa wadau wa MIVARF wa siku mbili tarehe 29 hadi 30, Agosti, 2017 mjini Dodoma, Mkurugenzi wa Idara ya uratibu wa shughuli za serikali Ofisi ya Wazir Mkuu, Obey Assery alifafanua kuwa lengo la Program hiyo inalenga kuongeza uzalishaji na tija kwa walengwa.


“Program imelenga kuwajengea uwezo wazalishaji ambao huwa katika vikundi kwa kuvifiki vikundi 2,331 vyenye walengwa 81,677. Kimsingi Programu imelenga kumuwezesha mkulima aweze kufanya kilimo cha kibiashara” alisema Assery.


Naye Mratibu wa Program Kitaifa, Walter Swai alibainisha kuwa Program imelenga kuwajengea uwezo walengwa kuyafikia masoko ya uhakika ili waweze kupunguza umasikini wa kipato.


“Programu imelenga kuboresha 1,000km za barabara hadi sasa 9991.8km zimeshakamilika sawa na asilimia 92. Lakini pia kwa upande wa miundo mbinu ya masoko tunajenga maghala, hadi sasa kati ya maghala 29 yaliyo kwenye malengo tayari tumekamilisha maghala 24 sawa na asilimia 83 ” alisistiza Swai.


Swai aliongeza kuwa Program hiyo imepanga kukarabati maghala 6 ambapo tayari yote yamekamilika, pia tumelenga kujenga masoko 16 ambapo hadi sasa masoko 7 yamekamilika ambayo ni asilimia 44.


MIVARF; ni Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko na Huduma za Kifedha Vijijini iliyobuniwa na serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo yaani (IFAD) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB).

Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Shughuli za serkali Obey Assery akisistiza jambo wakati wa Mkutano wa wadau wa MIVARF Agosti 30, Agosti, 2017 mjini Dodoma.

Wataalamu kutoka Program ya MIVARF wakifuatilia majadiliano ya wadau wa Program hiyo wakati wa mkutano wa wadau wa MIVARF Agosti 30 Mjini Dodoma.


Baadhi ya wadau wa MIVARF wakifuatilia mkutano wa wadau wa MIVARF unaofanyika mjini Dodoma Agost, 2017.


Hivyo makala Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato

yaani makala yote Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/matukio-mivarf-yawezesha-halmashauri-73.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : MIVARF yawezesha Halmashauri 73 kupunguza umasikini wa kipato"

Post a Comment