DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA

DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA
kiungo : DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA

soma pia


DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefungua mafunzo ya “Tathmini ya Uwezo” kanda ya Shinyanga ikiwa ni jitihada inayofanywa na shirika la Twaweza kwa lengo la kupima uwezo wa watoto juu ya umahiri wao wa kusoma,kuhesabu na kuandika.



Mafunzo hayo yanayofanyika kwa muda wa siku tatu katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga,yameanza leo Alhamis Oktoba 5,2017. 


Akizungumza wakati wa mafunzo hayo,Afisa Mawasiliano kutoka Jitihada ya Uwezo Twaweza,Greyson Mgoi akisema washiriki wa mafunzo hayo ni waratibu wa wilaya na waratibu wa vijiji kutoka wilaya nane za kanda ya Shinyanga inayojumuisha mikoa ya Dodoma,Singida,Simiyu na Shinyanga.


“Mafunzo ya tathmini ya Uwezo yanafanyika nchi nzima na kwa upande wa kanda ya Shinyanga,yanafanyika hapa ambapo tunafundisha mbinu na taratibu za kufanya wakati wa kutekeleza zoezi la Tathmini ya Uwezo kwenye wilaya mbalimbali nchini Tanzania na mwaka huu zoezi litafanyika katika wilaya 56”,alieleza Mgoi.

Alisema washiriki wa mafunzo hayo watafundishwa namna ya kufanya tathmini kuhusu uwezo wa watoto wenye kuanzia miaka 6 hadi 16 katika masomo matatu ya Kiingereza,Kiswahili na Hesabu.
Aliongeza kuwa Twaweza kupitia tathmini ya uwezo imekuwa ikishirikiana na serikali katika kuboresha elimu nchini.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro leo amefungua mafunzo ya “Tathmini ya Uwezo” kanda ya Shinyanga katika ukumbi wa Karena Hotel leo Alhamis Oktoba 5,2017-Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Afisa Mawasiliano kutoka Jitihada ya Uwezo Twaweza,Greyson Mgoi akielezea kuhusu Tathmini ya Uwezo
Afisa Mawasiliano kutoka Jitihada ya Uwezo Twaweza,Greyson Mgoi akizungumza ukumbini.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA

yaani makala yote DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dc-shinyanga-afungua-mafunzo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO YA TATHMINI YA UWEZO KANDA YA SHINYANGA"

Post a Comment