DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA

DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA
kiungo : DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA

soma pia


DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Halmashauri ya Wilaya ya mkuranga imekuja na mpango kabambe wa mfumo wa tehama ambao utasaidia mawasiliano kati ya Wananchi Wadau na Halmashauri zote nchini.

Hayo yameleezwa na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Mhandisi Mshamu Munde alipokuwa akiwasilisha mpango huo kwa wajumbe wa Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(ALAT) unaondelea jijini Dar es Salaam.

Munde amesema kuwa mfumo huo ambao unafahamika kama ELGA ambao unafanana kabisa na kama mfumo wa E.Gov ambapo mfumo huu utasaidia kufanya kazi kwa uraisi.

“sisi kama Halmashauri ya Mkuranga tunataka mfumo huu uweze kusambaa nchi nzima hili Halmashauri ziweze kufanya mawasiliano ya kibiashara kwa uraisi na kuwawezesha wananchi wake” amesema Mhandisi Munde
Munde ameongeza kuwa kama Halmashauri zote zitafanikiwa kutumia mfumo huu zitasaidia katika kuinua uchumi wa Viwanda kama anavyosema Mh Rais.

Anasema umefika wakati sasa kwa wakurugenzi wa Halmashauri zote kutumia mfumo huu hiliwaweze kusaidia kuinua uchumi wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Mhandisi Mshamu Munde akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(ALAT ) Juu ya mpango wa matumizi ya teknolojia ya huduma kwa njia ya mtandao ELGA.
Wajumbe wa Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa uliofanyika jijini Dar es Salaam
Wajumbe wa Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa uliofanyika jijini Dar es Salaam--


Hivyo makala DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA

yaani makala yote DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ded-mkuranga-awasilisha-mpango-wa_5.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DED MKURANGA AWASILISHA MPANGO WA KUSAIDIA MAWASILIANO KATIKA HALMASHAURI ELGA"

Post a Comment