title : BREAKING NYUZZZZ......: RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA
kiungo : BREAKING NYUZZZZ......: RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA
BREAKING NYUZZZZ......: RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kuteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akipokea kijiti kutoka kwa Gavana wa awali, Profesa Benno Ndulu. Rais Dkt. Magufuli ametangaza uteuzi huo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vyeti kwa Kamani ya zilizofanya uchunguzi wa kiwango, aina na thamani ya madini katika makinikia yaliyopelekea mazungumzo na Kampuni ya Barrick Gold. Profesa Luoga alikuwa ni mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo.
Hivyo makala BREAKING NYUZZZZ......: RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA
yaani makala yote BREAKING NYUZZZZ......: RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZ......: RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/breaking-nyuzzzz-rais-dkt-magufuli.html
0 Response to "BREAKING NYUZZZZ......: RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA PROF. FLORENS LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA"
Post a Comment