Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa

Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa
kiungo : Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa

soma pia


Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa

Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa
Account ya YouTube ya Aslay ambayo ilihakiwa na watu na kuiwekea vikwazo kwa watu wanaotaka kutazama kazi zake, imerudishwa baada ya kuhangaika nayo kwa muda mrefu.

Taarifa ya kurudishwa kwa account hiyo imetolewa na mmoja wa mameneja wake Mx Carter ambaye ni mtaalamu wa masuala ya mitandao na mpiga picha maarufu hapa bongo, kupitia ukurasa wake wa twitter.
Kwenye taarifa hiyo Mx Carter ameandika  'Usiyempenda karudi", na kuweka picha ya Aslay.
Leo asubuhi Mx Carter alitoa taarifa kuwa account hiyo imehakiwa, na kuwataka watu kuwa wapole wakati wanahangaikia kuirudisha.
Hivi karibuni Aslay amekuwa msanii ambaye anafanya vizuri zaidi mtaani kwa kutoa kazi kali mara kwa mara, na hivi juzi kaachia video yake mpya ya 'Natamba'. 


Hivyo makala Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa

yaani makala yote Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/akaunti-ya-you-tube-ya-aslay.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Akaunti ya You Tube ya Aslay Iliyohakiwa na Watu Wasiojulikana Imerudishwa"

Post a Comment