BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.
kiungo : BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

soma pia


BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

BENKI ya CRDB tawi la Kariakoo washeherekea wiki ya Huduma kwa wateja wa kufanya usafi maeneo mbalimbali ya kariakoo pamoja na kuwapa wateja wake zawadi mbalimbali ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba duniani kote.

Akizungumza mara baada ya kufanya usafi Meneja wa benki y CRDB tawi la Kakriakoo, Diana Mtalo amaesma kuwa wiki hii ni maalumu kwa wateja wote wa benki ya CRDB hasa tawi la Kariakoo.

Pia amesema kuwa kwa sasa benki ya CRDB wa watatoa mkopo kwa wateja wajasiliamali wa  kati kwa kuwapa mkopo ambao watapewa kwa siku saba tuuna mteja ataanza kunufaika na mkopo.
 Meneja wa benki ya CRDB kwa wateja wadogo wadogo, Jesca Nyachiro akizungumza na wateja wa benki ya CRDB tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam wakati wakisheherekea pamoja wiki ya huduma kwa wateja ambayo huadhimishwa kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba. 
Mteja wa benki ya CRDB na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Tripple "S" Investment Limited, Geofrey  Rwenyagira akizungumza na wafanyakazi pamoja na wateja wa benki ya CRDB tawi la kariakoo jijini Dar es Salaam wakati walipokuwa akizungumzia changamoto mbalimbali pamoja na mafanikio aliyoyapata. Pia aliwaasa wafanyakazi wa beni hiyo kuvumiliana katika furaha na matatizo mbalimbali ya wateja wake.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo wakiwa katika picha pamoja na wateja waliohudhulia hafla fupi ya kuwashukuru pamoja na kuwapa zawadi mbalimbali wateja wake.
 Mteja wa benki ya CRDB na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Tripple "S" Investment Limited, Geofrey  Rwenyagira akishirikiana na Meneja wa benki ya CRDB kwa wateja wadogo wadogo, Jesca Nyachiro kukata keki kwaajili ya kuwashukuru wateja maalumu wa Tawi la Kariakoo katika wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba.
Meneja wa benki ya CRDB kwa wateja wadogo wadogo, Jesca Nyachiro akilishwa keki na meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo,Diana Mtalo wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba.
 meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo,Diana Mtalo akita zawadi kwa wateja wa mda mrefu pamoja na wateja maalumu wa benki ya CRDB tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam.Ikiwa ni Kusherekea pamoja wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba duniani kote.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo wakifanya usafi maeneo mbalimbali yaliyo karibu na Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

yaani makala yote BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/benki-ya-crdb-tawi-la-kariakoo-wawapa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BENKI YA CRDB TAWI LA KARIAKOO WAWAPA ZAWADI WATEJA MAALUMU PAMOJA NA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA."

Post a Comment