TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA

TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA
kiungo : TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA

soma pia


TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA

NA MWAMVUA MWINYI, RUFIJI 
TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU )mkoani Pwani, imebaini kuwepo kwa mtandao mkubwa unaosaidia kufanikisha utoroshwaji wa mazao ya misitu kwa njia ya rushwa. Naibu mkuu wa taasisi hiyo mkoani hapo, Sadik Nombo alizungumzia suala hilo baada ya kituo maalumu cha Ikwiriri, kupata taarifa ya kuwepo magogo ya mbao ya mti aina ya mninga yapatayo 20 yamefichwa kwenye nyumba moja katika Kitongoji cha Mtakuja ,kijiji cha Umwe Kaskazini yenye thamani ya sh. milioni 4,370,448 .

Alisema magogo hayo ,yamevunwa kinyume na taratibu na sheria ya misitu namba 14 ya mwaka 2002. . Kufuatia taarifa hiyo ,alisema kwamba, ofisi ya TAKUKURU imefanya uchunguzi wa haraka uliofanikisha  kukamatwa kwa mfanyabiashara mmoja aliyekutwa na magogo hayo. Nombo alifafanua, kitendo hicho kunaisababishia serikali hasara hasa katika mapato yatokanayo na uvunaji na usafirishaji wa mazao ya misitu. 

"Uchunguzi wa kubaini wahusika katika mtandao huo unaendelea ili wahusika wote waweze kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria" Alitoa wito wa kushirikiana  bega kwa bega katika mapambano dhidi ya rushwa kwa kuendelea kutoa taarifa za vitendo vya rushwa kwani rasilimali za nchi zinalindwa.
Hata hivyo Nombo aliwaomba pia ,watumishi wa umma  kuwa wazalendo na kuwa mstari wa mbele kulinda rasilimali za nchi na si kuwa wawezeshaji wa kusaidia utaifishaji wa mali ya umma.  



Hivyo makala TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA

yaani makala yote TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/takukuru-pwani-yabaini-mtandao.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAKUKURU PWANI YABAINI MTANDAO UNAOSAIDIA UTOROSHAJI WA MAZAO YA MISITU KWA NJIA YA RUSHWA"

Post a Comment