title : Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE
kiungo : Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE
Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE
Meneja wa duka la Airtel Makao Makuu Bi Celine Njuju akiongea na wateja leo wakati Airtel ilipozindua wiki ya huduma kwa wateja pamoja na kuzindua kifurushi cha OFA kabambe kinachopatikana kupitia Airtel Money kwa shilingi 1000 tu na kudumu kwa siku 3. kifurushi hiki pia kinampatia mteja GB 2, dakika za maongezi 110 kwenda mitandao yote pamoja na sms bila kikomo uzinduzi wa wiki.
Katikati ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba akikata keki kuashiria uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja inayoazimishwa duniani kote kuanzia octoba 2 hadi oktoba 6 huku akiwa amezungukwa na baadhi ya wafanyakazi wa Airtel pamoja na wateja wa Airtel waliotembelea duka la Airtel Moroco kujipatia huduma.
Mmoja kati ya wateja wa Airtel Bw, Kassim Nguya akimlisha keki Mkurugenzi wa huduma kwa mteja Bi Adriana Lyamba maalum kwa kuashiria uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambayo huanzimishwa kila mwaka mwezi oktoba tarehe 2 hadi 6. airtel pia imezindua kifurushi cha OFA kabambe ambapo kwa shilingi 1000 mteja anapata GB 2, dakika za maongezi 110 kwenda mitandao yote pamoja na sms bila kikomo.
Baadhi ya wateja wa Airtel waliotembelea duka ya Airtel Makao makuu leo wakilishwa keki na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba leo ikiwa ni kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoazimishwa duniani kote kuanzia octoba 2 hadi 6. Airtel mwaka huu wamesherehekea wiki hio wakiwa na kauli mbiu yao ya BUILDING TRUST yaani kuwajengea wateja Imani kwa kuwapatia huduma zenye viwango.
Baadhi ya wateja wa Airtel waliotembelea duka ya Airtel Makao makuu leo wakilishwa keki na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba leo ikiwa ni kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoazimishwa duniani kote kuanzia octoba 2 hadi 6. Airtel mwaka huu wamesherehekea wiki hio wakiwa na kauli mbiu yao ya BUILDING TRUST yaani kuwajengea wateja Imani kwa kuwapatia huduma zenye viwango.
Hivyo makala Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE
yaani makala yote Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/airtel-yasherehekea-wiki-ya-huduma-kwa_2.html
0 Response to "Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE"
Post a Comment