title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ahutubia Baraza la IDD-EL-FITRI
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ahutubia Baraza la IDD-EL-FITRI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ahutubia Baraza la IDD-EL-FITRI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (katikati) wakifuatana mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, leo akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya IDD baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Kamishana wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (mbele) akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Kikosi cha Polisi FFU leo mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Askari wa Kikosi cha Polisi (FFU) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika leo katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Sehemu ya Viongozi na Wananchi wakiwa katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika Sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Idd baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan lililofanyika leo Mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwahutubia viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ahutubia Baraza la IDD-EL-FITRI
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ahutubia Baraza la IDD-EL-FITRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ahutubia Baraza la IDD-EL-FITRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_52.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ahutubia Baraza la IDD-EL-FITRI"
Post a Comment