title : IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUVUMA NA KUWATAKA KUENDELEA KUTII SHERIA
kiungo : IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUVUMA NA KUWATAKA KUENDELEA KUTII SHERIA
IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUVUMA NA KUWATAKA KUENDELEA KUTII SHERIA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na wananchi wa eneo la Lizaboni wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, na kuwataka kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi hilo na kutii sheria za nchi pamoja na kuwafichua wahalifu waliopo kwenye jamii, IGP Sirro, yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Askari wa kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu na wahalifu katika mkoa wa Ruvuma, wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, na kuwataka kufanyakazi kwa kuzingatia sheria na taratibu pamoja na kutimiza wajibu wao wa kutenda haki wanapotekeleza majukumu yao ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (watatu kulia kwenye meza kuu) na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Binilith Mahenge, wakiwa kwenye kikao cha pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, IGP Sirro, yupo mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzungumza na Maofisa na askari na kuona changamoto zao ikiwa pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki na kutoa huduma bora kwa wananchi

Hivyo makala IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUVUMA NA KUWATAKA KUENDELEA KUTII SHERIA
yaani makala yote IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUVUMA NA KUWATAKA KUENDELEA KUTII SHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUVUMA NA KUWATAKA KUENDELEA KUTII SHERIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/igp-sirro-azungumza-na-wananchi-wa.html
0 Response to "IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUVUMA NA KUWATAKA KUENDELEA KUTII SHERIA"
Post a Comment