ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE

ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE
kiungo : ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE

soma pia


ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE


Mwakilishi wa Zantel-Tanga Mansoor Ally, (kulia) akikabidhi mbuzi kwa kituo cha kulea watoto yatima cha Goodwill & Humanity Foundation kilichopo jijini Tanga wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika kituo hicho, siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa Kampuni hiyo. Zaidi ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya bara na visiwani katika kuadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha.
Meneja wa Data na Vifaa vya Intaneti, Hamza Zuheri (kushoto) akikabidhi mbuzi kwa mwakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Malaika kilichopo Kinondoni Malongwe jijini Dar, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika makao makuu ya ofisi za Zantel jijini Dar es salaam, siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa Kampuni hiyo. Zaidi ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya bara na visiwani katika kuadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha.
Afisa wa Zantel Abdallah Saadun (kushoto) akikabidhi mbuzi kwa Afisa rasilimali watu wa kituo cha kulea watoto yatima cha SOS-Zanzibar, Bw. Salum Abdallah Salum (wa pili kushoto) wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi kuu ya Zantel iliyopo Unguja, siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa Kampuni hiyo ambapo zaidi ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya bara na visiwani katika kuadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha.
Afisa wa Zantel Abdallah Saadun akikabidhi mbuzi kwa walezi na watoto wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mazizini-Zanzibar wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi kuu ya Zantel iliyopo Unguja, siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita ikiwa ni moja ya hatua ya kujitolea kwa jamii kwa Kampuni hiyo ambapo zaidi ya mbuzi 100 walitolewa katika mikoa mbalimbali ya bara na visiwani katika kuadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha. Anayeshuhudia kushoto ni Meneja Chapa na Mawasiiano wa Zantel, Rukia Mtingwa.



Hivyo makala ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE

yaani makala yote ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/zantel-yatoa-zawadi-ya-mbuzi-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZANTEL YATOA ZAWADI YA MBUZI KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA 'EID AL HADHA',YAWAKUMBUKA YATIMA NA WAZEE"

Post a Comment