Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole

Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole
kiungo : Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole

soma pia


Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole ameshangazwa na raia wa Namibia kwa kumtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John P Magufuli  kila sehemu nchini humo huku akisema kuwa ni sifa kwa taifa letu.

  Polepole ambaye yupo nchini Namibia kikazi kwa mujibu wa maelezo yake amesema kila mtu anayekutana nae nchini humo anamuulizia Rais Magufuli.

“Niko Namibia kwa kazi ya CCM na kila mtu anamuulizia Magufuli, Magufuli, Magufuli. Huyu Magufuli amerudisha maradufu heshima ya Taifa letu”,ameandika Polepole kwenye ukurasa wake wa Twitter.

 Humphrey Polepole ni moja ya viongozi wa CCM ambao wanasiasa wengi wanadai kuwa nafasi aliyopewa kwenye chama hicho ni kubwa kulinganisha na uwezo wake akiwemo  Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa.


Hivyo makala Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole

yaani makala yote Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/nipo-namibia-kila-mtu-anamuulizia-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nipo Namibia Kila Mtu Anamuulizia Rais Magufuli....Ukweli Amerudisha Heshima ya Taifa Letu – Humphrey Polepole"

Post a Comment