WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa maelezo kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuzindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.Kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizindua awamu ya pili ya Mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) baada ya kuzindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kushoto ni Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. David Omozuafoh (kulia) baada ya kuzindua awamu ya pili ya mradi wa kuujengea uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/waziri-mkuu-majaliwa-azindua-awamu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, MJINI DODOMA LEO"

Post a Comment