title : Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi.
kiungo : Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi.
Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi.
Wanafunzi waskuli ya Sekondari Chokocho Pemba, wakipanda miti katikaeneo lilimegwa na maji Chumvi kufuatia kuharibiwa kwa mazingira kwa
ukataji miti ovyo. Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Kisiwa Panza , wakipanda miti katika
eneo lilomegwa na maji ya Chumvi kufuatia uharibifu wa mazingira.
PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA. Maeneo ya Bahari ambayo yamegeuka kuwa jangwa baada ya kumegwa na maji
ya Bahari kufuatia uharibifu wa mazingira unaofanywa na Wananchi
wenyewe , katika ufukwe wa Bahari ya Chokocho na Kisiwa Panza katika
Wilaya ya Mkoani -Pemba.
Picha na Habiba Zarali-Pemba. Maeneo ya Bahari ambayo yamegeuka kuwa jangwa baada ya kumegwa na maji
ya Bahari kufuatia uharibifu wa mazingira unaofanywa na Wananchi
wenyewe , katika ufukwe wa Bahari ya Chokocho na Kisiwa Panza katika
Wilaya ya Mkoani -Pemba.
Picha na Habiba Zarali-Pemba.
Hivyo makala Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi.
yaani makala yote Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wanafunzi-wa-skuli-za-sekondari-za.html
0 Response to "Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi."
Post a Comment