UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO

UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO
kiungo : UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO

soma pia


UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO

Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA limetoa viwango vipya vya soka duniani ambapo sasa Ujerumani wamerudi tena kuchukua nafasi yao ya kwanza ambayo hapo mwanzo ilienda kwa timu ya Brazil.

Brazil waliokuwa wakishika nafasi ya kwanza sasa wamekuwa nafasi ya pili huku Ureno waliokuwa nafasi ya sita sasa wako nafasi ya 3 na Argentina waliokuwa nafasi ya 3 wameshuka hadi 4.

Ubelgiji wamepanda hadi nafasi ya 5 kutoka 9 walipokuwa huku nafasi ya 6 ikienda kwa Poland, timu ya taifa ya Swiztrland wako katika nafasi ya 7 huku ya 8 ikikamatwa na Ufaransa.

Mabingwa wa Amerika Kusini timu ya taifa ya Chile wako nafasi ya 9 huku wanaofunga orodha ya 10 bora ni timu ya taifa kutoka bara la America timu ya Colombia.

Timu ya taifa ya Uingereza ambayo imeshuka hadi nafasi ya 15 ikiwa ni baada ya miaka 17 kufika katika hatua hiyo na wakipitwa na  Wales walioko 13.

Kwa upande wa kumi bora ya Africa, Misri wanaongoza wakifuatiwa na Tunisia huku Wasenegal wakiwa katika nafasi ya 3, ya 4 ikienda kwa DRC.

Nigeria wako nafasi ya 5, wakifuatiwa na mabingwa wa Africa timu ya taifa ya Cameroon huku Burkina Fasso wakishika namba 7, 8 ni Ghana, 9 Ivory Coast na 10 ni Morocco.Tanzania wameshuka kutoka nafasi 5 toka  120 hadi 125.


Hivyo makala UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO

yaani makala yote UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/ujerumani-yashika-namba-moja-viwango.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJERUMANI YASHIKA NAMBA MOJA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, TANZANIA YASHUKA KWA NAFASI TANO"

Post a Comment