title : WANANCHI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
kiungo : WANANCHI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
WANANCHI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
Zoezi la Upimaji wa Afya Bure limeanza leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja huku baadhi ya Wananchi wakitoka Mikoani kuja Dar es Salaam kufuata huduma na wengine wakiwahi kwenye Viwanja hivyo tokea saa 10 Alfajiri.
RC Makonda amesema kampeni hiyo ina malengo matatu ambayo ni
Kujengea Wananchi utaratibu wa kupima Afya zao Mara kwa mara hata kama hawaumwi.
Kusaidia Wananchi Wanyonge
wanaotamani kupima Afya lakini hawana Uwezo wa Fedha kupata fursa ya kupima Afya.
Kupunguza vifo vitokanavyo na watu kutokujua historia ya Magonjwa yao hadi pale wanapougua.
Aidha Makonda amesema kila Mwananchi atakaefika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja atapimwa na kupatiwa Matibabu Bure.
Amesema Wananchi wengi wamekuwa wakipoteza maisha kutokana na kukosa utaratibu wa kupima Afya Mara kwa Mara na pindi wanapozidiwa na kufikishwa Hospital Ugonjwa unakuwa tayari umekuwa sugu hivyo kupoteza maisha.
Amewapongeza Madaktari na Wauguzi kutoka Hospital za Umma, Jeshi na zile za Binafsi kwa kujitolea kumuunga mkono katika Kampeni hiyo.
Zoezi la upimaji Afya Bure litaendelea Kwenye Viwanja vya Mnazu Mmoja kwa muda wa siku tano kuanzia Asubuhi hadi Jioni.
Hivyo makala WANANCHI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
yaani makala yote WANANCHI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wananchi-wa-dar-es-salaam-wajitokeza.html
0 Response to "WANANCHI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA"
Post a Comment