title : Taarifa mpya ya Tume ya Uchaguzi Kenya kuhusu Uchaguzi wa marudio
kiungo : Taarifa mpya ya Tume ya Uchaguzi Kenya kuhusu Uchaguzi wa marudio
Taarifa mpya ya Tume ya Uchaguzi Kenya kuhusu Uchaguzi wa marudio
Muda mfupi baada ya kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga kutangaza kutoshiriki katika marudio ya Uchaguzi Mkuu mpaka Tume ya Uchaguzi ifanyiwe mabadiliko, Tume hiyo imetangaza kundi la watu sita ambalo litasimamia uchaguzi huo.
Walioteuliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo Ezra Chiloba, Naibu wake Betty Nyabuto, Mkurugenzi wa Usajili wa wapiga kura pamoja na Mkuu wa Operesheni za Uchaguzi Immaculate Kasait, Naibu wake Mwaura Kamwati, Mkuu wa Operesheni za Tume na Mkuu wa Teknolojia James Muhati.
Uchaguzi wa marudio Kenya umepangwa kufanyika October 17, 2017 kutokana na ruhusa ya Mahakama ya Juu nchini humo kufuatia kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na Odinga.
Hivyo makala Taarifa mpya ya Tume ya Uchaguzi Kenya kuhusu Uchaguzi wa marudio
yaani makala yote Taarifa mpya ya Tume ya Uchaguzi Kenya kuhusu Uchaguzi wa marudio Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa mpya ya Tume ya Uchaguzi Kenya kuhusu Uchaguzi wa marudio mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/taarifa-mpya-ya-tume-ya-uchaguzi-kenya.html
0 Response to "Taarifa mpya ya Tume ya Uchaguzi Kenya kuhusu Uchaguzi wa marudio"
Post a Comment