Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo.

Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo.
kiungo : Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo.

soma pia


Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo.


Na. Angela Msimbira- TAMISEMI.

Katibu Mkuu Ofisi ya Ras Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe amesema kuwa zaidi ya kaya 438 za watumishi wa umma watakaohamia Dodoma na wenye sifa ya kupatiwa nyumba na Serikali watakuwa na uhakika wa kupata nyumba zilizokuwa zikimilikiwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA)

Akikabidhi Nyumba zilizokuwa zikimilikiwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu kwa Wakala wa Majengo (TBA) Mhandisi Mussa Iyombe amesema, nyumba hizo zitakuwa maalum kwa watumishi wenye sifa kulingana na miundo ya kitumishi.

‘’Nyumba ambazo zinakabidhiwa kwa Wakala wa Majengo ni nyumba za kuishi ambazo awali zilimilikiwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu na kuhamishiwa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma” Amesema Mhandisi Iyombe.

Akitoa Maelezo ya awali Mhandisi Musa Iyombe amesema baada ya kuivunjwa kwa CDA iliagizwa kuwa watumishi wote waliokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kupangiwa kazi kwenye Ofisi za Serikali na kipaombele cha kwanza kilikuwa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuchagua watumishi wanaomfaa kwa ajili ya kuendeleza kazi zilizokuwa zikifanywa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kazi ambayo kwa sasa imekamilika.

Katibu Mkuu Mkuu OR-TAMISEMI,Mhandisi Mussa Iyombe, pamoja na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa majengo nchini, Msanifu Majengo Elius Mwakalinga, wakiweka saini makubaliano ya kukabidhiana zilizokuwa nyumba za CDA.

.Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Mussa Iyombe, akipokea Nyaraka kutoka kwa Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma kabla yakuzikabidhi kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa majengo Tanzania.

Katibu Mkuu Mussa Iyombe akifanya makabidhiano rasmi na Mtendaji mkuu wa Wakala wa Majengo nchini. TBA.

Baadhi ya washuhudiaji wakiwa katika makabidhiano hayo hapa wakishuhudia.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo.

yaani makala yote Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wakala-wa-majengo-tba-apewa-nyumba-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wakala wa Majengo (TBA) apewa Nyumba za CDA Kaya 438 kunufaika nazo."

Post a Comment