Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa
kiungo : Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa

soma pia


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini ambapo katika kikao hicho kamati ya Amani ya Mkoa imeundwa ikihusisha viongozi wa Dini zote. Katika  kikao hicho masuala mbalimbali ya maendeleo yamejadiliwa pia, na  amewashukuru viongozi hao kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuliombea Taifa na kukemea maovu. RC Mndeme  amewaomba viongozi hao wa dini kuendelea kuliombea Taifa na pia ameahidi kuwapa ushirikaiano mkubwa kwa maendeleo ya Ruvuma na Taifa kwa ujumla pia kukemea maovu miongoni mwa jamii.
Kwa upande wao viongozi wa dini wamemshukuru mkuu wa mkoa kwa hatua hiyo waliyoiita ya kihistoria, na wameahidi kushirikiana naye pamoja na serikali bega kwa bega ili kujenga jamii yenye kujali utu, maadili na inayochukia maovu.
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme  Mhe. leo katika picha ya pamoja na viongozi wa dini ambao wanaunda  kamati ya Amani ya Mkoa wa Ruvuma baada ya kikao chao.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme  Mhe. leo  akiwa na iongozi wa dini wanaounda  kamati ya Amani ya Mkoa wa Ruvuma pamoja na wadau na maafisa kutoka katika ofisi yake.


Hivyo makala Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa

yaani makala yote Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mkuu-wa-mkoa-wa-ruvuma-mhe-christina.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini, waunda kamati ya amani ya mkoa"

Post a Comment