Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume

Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume
kiungo : Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume

soma pia


Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume

Aliyekuwa Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta amefunguka na kutoa onyo kwa mpinzani wake Raila Odinga kuwa asahu kuhusu tume mpya ya uchaguzi lakini pia amemtaka Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga kutoingilia kwani wao wameheshimu maamuzi ya mahakama

Uhuru Kenyatta amesema chama chake cha Jubilee kipo tayari kwa uchaguzi huo wa marudio na sasa wanasubiri Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC iweze kutangaza siku ya uchaguzi na wanaiomba itangaze siku hiyo haraka.

Aidha Uhuru Kenyatta amesema kuwa wapinzani hao hawana haja ya uchaguzi bali ni watu ambao wanataka serikali ya mseto kitu ambacho yeye hawezi kukiruhusu hata kidogo

Mahakama ya juu nchini Kenya Septemba 1, 2017 ilifuta matokeo ya Urais nchini Kenya na kuamuru kuwa uchaguzi mpya ufanyike katika nafasi ya Urais kutokana na mahakama hiyo kubaini baadhi ya mapungufu wakati wa utoaji wa matokeo hayo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017.


Hivyo makala Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume

yaani makala yote Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/uhuru-kenyatta-ampa-onyo-raila.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uhuru Kenyatta Ampa ONYO Raila Odinga....Amtakaa Asahau Habari za Kubadili Tume"

Post a Comment