Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye

Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye
kiungo : Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye

soma pia


Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye


Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas amefunguka na kusema Balozi wa China nchini Tanzania anayemaliza muda wake Lu Youqing amedai nchi nyingi duniani zinatamani kuwa na Rais kama alivyo Dkt. John Pombe Magufuli kwa jinsi anavyoongoza nchi.

Dkt. Hassan Abbas amesema hayo kupitia mtandao wake wa twitter na kusema balozi huyo amesema siyo nchi za Afrika tu zinazotamani kupata kiongozi kama Magufuli bali ni dunia nzima inapenda kuwa na mtu kama Rais Magufuli.

"Balozi wa China anayemaliza muda wake Dkt Lu aguswa na vita ya kimageuzi ya Rais Magufuli. Asema atamkumbuka kama mmoja wa mashujaa Afrika amesisitiza kuwa si Afrika tu bali hata duniani, nchi nyingi zinatamani kuwa na Rais kama Dkt. John Pombe Magufuli amedai Serikali ya Tanzania tangu Nyerere mpaka Rais Magufuli inasifika duniani kwa mageuzi makubwa" alisema Dkt.Hassan Abbas

Advertisement


Hivyo makala Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye

yaani makala yote Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/balozi-wa-china-ammwagia-sifa-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye"

Post a Comment