Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya

Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya
kiungo : Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya

soma pia


Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya

 Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya
Nyota wa Simba, Shiza Kichuya, Jonas Mkude, Mwinyi Kazimoto na Nicholas Gyan wameonyesha kitendo cha utovu wa nidhamu wakati wa mchezo wao dhidi ya URA.

Katika mchezo huo ambao Simba ilifungwa bao 1-0 na URA na kuondolewa mashindano ulishudia wachezaji wa Kichuya, Mkude na Gyan wakijiondoa katika benchi la timu hiyo baada ya kutolea.

Kichuya alitolewa kipindi cha kwanza alikaa kwenye benchi la wachezaji wa akiba huku akikataa kupewa mkononi na kocha wake Djuma Masoud na kugomea kupewa maji ya kunywa na daktari wa Simba, Yassin Gembe.

Walipoenda vyumbani kupata maelekezo wakati wa mapumziko walitolewa Kazimoto, Mkude na Gyan ambao hawakurudi kwenye benchi na kubaki vyumbani baadae wanatoka na kukaa kwa mashabiki.

Wachezaji hao walipotoka nafasi zao zilichukuliwa na Yusuph Mlipili,  Said Ndemla na James Kotei na Mohammed Ibrahim 'MO'.

Djuma alipoulizwa Kuhusu kutokurudi kwa wachezaji hao kwenye benchi alisema kuwa walipata majeruhi na walikuwa wakitibiwa.

"Walipata majeraha ya misuli na walikuwa wanapata matibabu," alisema Djuma.


Hivyo makala Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya

yaani makala yote Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kichuya-mkude-na-kazimoto-watia-mgomo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kichuya, Mkude na Kazimoto Watia Mgomo wa Kimya Kimya"

Post a Comment