BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR
kiungo : BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR

soma pia


BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR

NA K-VIS BLOG, FELIX ANDREW 
WAAJIRI Tanzania Bara wametakiwa kuwashirikisha wafanyakazi wao kabla ya kufanya maamuzi mbali mbali ili kuendelea kudumisha amani na mshikamano maeneo ya kazi.

Ushauri huo ulitolewa jjini Dar es Salaam jana na Naibu Waziriri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde, wakati akizindua baraza la wafanyakazi wa mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WFC)

Alisema kuwa uongozi shirikishi na wa pamoja ndiyo njia pekee itakayopunguza migogoro maeneo ya kazi, hivyo waajiri hawana budi kuhakikisha jambo hilo linazingatiwa ipasavyo.
“Lengo kuu la uongozi shirikishi na wa pamoja ni kujadiliana changamoto mbali mbali na kuzitatua kwa nia ya kufikia malengo,” alisema.

Mavunde aliwaasa wafanyakazi nchini kuondokana na urasimu katika kutoa huduma mbali mbali kwa jamii.
“Urasimu katika utoaji wa huduma ni changamoto kubwa sana ambayo inaisumbua nchi naomba sana msifanye hivyo kwa manufaa ya taifa letu,” alisema.
Naibu Waziriri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde (wakwanza toka kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Masha Mshomba (wa pili toka kushoto) ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Baraza za Wafanyakazi mapema leo jijini Dar es Salaam. Naibu Waziriri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Masha Mshomba (kulia) wakionyesha
Wafanyakazi wa mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WFC) wakifurahia uzinduzi huo. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR

yaani makala yote BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/baraza-la-wafanyakazi-wa-mfuko-wa-wcf.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA WCF LAZINDULIWA JIJINI DAR"

Post a Comment