title : NEWS ALERT: MBUNGE TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA RISASI MJINI DODOMA LEO
kiungo : NEWS ALERT: MBUNGE TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA RISASI MJINI DODOMA LEO
NEWS ALERT: MBUNGE TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA RISASI MJINI DODOMA LEO
Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaeleza kuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili cha Tanganyika (TLS), Tundu Antipus Lissu ameshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa akitoka nyumbani kwake Area D Dodoma na kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hosiptali ya Mkoa wa Dodoma kwa matibabu.
Taarifa zaidi zitawafikia kadri tutakavyokuwa tukizipa.
Hivyo makala NEWS ALERT: MBUNGE TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA RISASI MJINI DODOMA LEO
yaani makala yote NEWS ALERT: MBUNGE TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA RISASI MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: MBUNGE TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA RISASI MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/news-alert-mbunge-tundu-lissu.html
0 Response to "NEWS ALERT: MBUNGE TUNDU LISSU ASHAMBULIWA KWA RISASI MJINI DODOMA LEO"
Post a Comment