title : FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA ARTS NA BIASHARA
kiungo : FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA ARTS NA BIASHARA
FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA ARTS NA BIASHARA
Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza akiwa amebebwa juu na wanafunzi wenzie wa shule hiyo mara baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika Masomo ya Arts na Biashara katika matokeo yaliyotangazwa na baraza la mitihani leo
Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake Thomas Samky na Victoria Samky walipofika shuleni hapo
Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo wakiwa katika picha ya pamoja wenye furaha mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana Feza mara baada ya matokeo kutoka ambapo Atganile amekuwa wa tatu kitaifa katika Masomo ya Sayansi na Kabhabhira amekuwa wa Saba katika masomo hayo.
Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo wakilakiwa na walimu wao mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana feza walipokuwa wanasoma mara baada ya matokeo ya kidato cha Sita kutoka
Mwanafunzi aliyefanya vizuri na kuwa wa tatu katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa , Atuganile Cairo akiwa na Mama yake Mzazi akimpongeza kwa kufanya vizuri katika mtihani huo wa kidato cha Sita
Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo wakisalimiana na Mwalimu mkuu wa Shule ya Wasichana fedha ,Ibrahim Rashid pamoja na baba yake Atuganile, Jimmy Cairo
Hivyo makala FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA ARTS NA BIASHARA
yaani makala yote FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA ARTS NA BIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA ARTS NA BIASHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/feza-schools-yatoa-aliyeongoza-kitaifa.html
0 Response to "FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA ARTS NA BIASHARA"
Post a Comment