title : Rais wa Samsung Africa afurahia mafanikio ya usambazaji wa vifaa vya kampuni hiyo nchini
kiungo : Rais wa Samsung Africa afurahia mafanikio ya usambazaji wa vifaa vya kampuni hiyo nchini
Rais wa Samsung Africa afurahia mafanikio ya usambazaji wa vifaa vya kampuni hiyo nchini
Rais wa Samsung Africa ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Yoo Young Kim akizungumza na wasambazaji pamoja na wadau mbalimbli juu ya mchango wao endelevu na akitumaini maendeleo bora ya kibiashara kwa siku za usoni katika hafla iliyo fanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Samsung Africa Mashariki, Bw. John Park (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa kampuni Pyramid consumers, Bw. Abraham Okora cheti cha kumtambulisha rasmi kama msambazaji wa bidhaa za majumbani za samsung Tanzania
Meneja wa Samsung nchini Tanzania,Rayton Kwembe akifafanua mbele ya wadau mambo mbalimbali ya vifaa vya kampuni hiyo.
Kikundi cha Safari Theatre kikitoa burudanza katika hafla hiyo.
Picha na Emmanuel Massaka
Hivyo makala Rais wa Samsung Africa afurahia mafanikio ya usambazaji wa vifaa vya kampuni hiyo nchini
yaani makala yote Rais wa Samsung Africa afurahia mafanikio ya usambazaji wa vifaa vya kampuni hiyo nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Samsung Africa afurahia mafanikio ya usambazaji wa vifaa vya kampuni hiyo nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-wa-samsung-africa-afurahia.html
0 Response to "Rais wa Samsung Africa afurahia mafanikio ya usambazaji wa vifaa vya kampuni hiyo nchini"
Post a Comment