Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu

Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu
kiungo : Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu

soma pia


Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu


Kwanza naanza kwa kusema nampa pole ndugu yangu, mTanzania mwenzangu Tundu lissu kwa majanga yaliyo mpata, mimi ni mkristo miongoni mwa mambo ambayo Yesu alisema na ni kauli yake ya mwisho ni Duniani mnayo dhiki alikuwa anamaanisha matukio kama haya kwamba kuna watu watanyimwa haki ya kuishi kwa sababu ya misimamo yao, na utu wao utapuuzwa kwa sababu ya misimamo yao, wataonewa kwa sababu ya mitazamo yao, hii ni Dunia matukio kama haya hayajaanza leo na wakati wote watekelezaji wa matukio kama haya wanaishia pabaya wakati utawahukumu. Ninacho muombea ndugu yangu apone haraka na Mungu amsaidie. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika


Hivyo makala Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu

yaani makala yote Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mzee-wa-upako-anena-mazito-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mzee wa Upako Anena Mazito Kuhusu Waliompiga Risasi Mh. Tundu Lissu"

Post a Comment