MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA

MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA
kiungo : MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA

soma pia


MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Mwandoya jimbo la Kisesa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa amewataka Viongozi wa mkoa na wilaya mkoani Simiyu kusimamia sheria na kutowafumbia macho wanaowapa mimba wanafunzi.

Akizungumza na Wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwandoya Kisesa, wilayani Meatu.

Makamu wa Rais alisema “Jamani mnadhulumu watoto wetu hapa kuna kina Samia wa baadae mnapokuja kuwapa ujauzito mapema mkawavunjia safari zao, mkawaoa mapema, wakina Samia hawataibuka Meatu, tutatoka huko nje tutaibuka hapa Meatu, tunataka Samia atoke hapa Meatu waachieni wasome, masuala ya mimba za utotoni wapunguzieni.”

Makamu wa Rais aliwahimiza wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye mifuko ya bima ya afya kwani inafaida kubwa sana.“Magonjwa yaweza kukufika wakati huna pesa na kitu pekee kitakachokusaidia ni bima yako ya afya hivyo wananchi hakikisheni mnapovuna na kuuza mazao yenu mnapata bima ya afya”

Makamu wa Rais aliwapongeza wananchi wa Wilaya ya Meatu kwa kulima pamba kwa wingi ambapo wilaya hiyo inategemea kilo 84 na kuwaahidi wananchi hao kuwa dawa za kuulia wadudu zitapatikana kwa wingi kuanzia mwisho wa mwezi huu kwani serikali imetoa fedha zaidi ya bilioni 9 .

Makamu wa Rais aliwaambia wananchi hao kuwa barabara zote ambazo ilani ya uchaguzi imeahidi kuzijenga zitajengwa na zile ambazo hazipo kwenye ilani ila zina umuhimu zitaingizwa kwenye bajeti ijayo.

Wakati huohuo Mbunge wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luaga Mpina alisema kuwa kati ya kata 13 ni vijiji vine tu vina maji hivyo alimuomba Waziri wa Maji kusaidia zaidi upatikanaji wa maji.Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe aliahidi kusimamia kwa ukamilifu upatikanaji wa maji .


Hivyo makala MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA

yaani makala yote MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mkutano-wa-makamu-wa-rais-mwandoya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA"

Post a Comment