MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA.

MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA.
kiungo : MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA.

soma pia


MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA.




Mwanadada  maarufu wa nchini Nairobi Vera Sidika  amewatolea povu wasicha wa nchini Nigeria wanaosema wasichana Wageni wanawachukulia Mabwana zao akiwemo yeye.


Vera ameandika kwenye mtandao wake wa Instagram akisema ni vichekesho  sana kuona  wasicha hao wa Nigeria wanasema wanaibiwa mabwana zao wote na wasicha wageni .
Amesema wanatakiwa wawadhibiti wanaume wao wasiwe na mahusiano na wasicha wanaotoka nchi zingine na sio kutoa lawama  kwani wanaume hao  ndo huwafuata wageni.

"Mnatakiwa mjiulize wenyewe kwanini  hii inatokea wanaume zenu wanatufuata sisi wageni na kuwaacha nyie na sio kuwanyooshea vidole watu hata hivyo mimi sina mahusiano na Mnaigeria" amesema Vera.


Hivyo makala MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA.

yaani makala yote MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mrembo-vera-sidika-wa-kenya-awatolea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MREMBO VERA SIDIKA WA KENYA AWATOLEA POVU WASICHANA WA NAIGERIA."

Post a Comment