title : KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM
kiungo : KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM
KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Suzan Mlawi akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa bidii na kufuata Sheria za Utumishi wa Umma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Nicholaus Willium akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa kujituma na kwa ushirikiano.
Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akizungumza wakati wa kikao cha Watumishi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam .
Hivyo makala KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM
yaani makala yote KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/katibu-mkuu-na-naibu-katibu-mkuu-wizara.html
0 Response to "KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KITUO CHA DAR ES SALAAM"
Post a Comment