SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA.
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA.

soma pia


SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA.

Mwambawahabari
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia) alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia) alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (wa pili kushoto), Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) na Mkuu wa kitengo cha siasa wa Ubalozi wa China nchini Tanzania, Ndg. Liang Lin (kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akipokea zawadi toka kwa Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang ke (kushoto) baada ya kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Spika Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (wa pili kushoto), pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa China nchini Tanzania, katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia), Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kushoto) baada ya kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang ke (wa pili kushoto) katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Spika Mjini Dodoma, katikati ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Wageni wengine ni wasaidizi wa Balozi kutoka Ubalozi wa China nchini Tanzania.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA.

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/spika-ndugai-akutana-na-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA."

Post a Comment