Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake

Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake
kiungo : Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake

soma pia


Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake

 Mkuu wa mauzo wa kanda ya Dar na Pwani wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, George Lugata (aliyelala chini) na Msimamizi wa mifumo ya kompyuta Emmanuel Lenduyayi (aliyesimama) akitoa mfano wa namna ya kumhudumia mtu aliyeanguka ghafla katika semina ya mafunzo ya huduma ya kwanza, yaliyofanyika makao makuu ya kampuni jijini Dar es Salaam karibuni jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom hutoa mafunzo mbalimbali ya uokoaji kwa wafanyakazi wake na wafanyakazi wa majumbani kwao ili kuwawezesha kukabiliana na ajali mbalimbali ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuhakikisha usalama wa wafanyakazi wake. Aliyesimama kulia ni mwalimu wa mafunzo hayo Bw Adam kutoka kampuni ya Knight Support Company.

Mfanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Neema Mgombelo, akionyesha mfano wa jinsi ya kumtambua mgonjwa aliezimia katika semina ya mafunzo ya huduma ya kwanza, iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kampuni ya Vodacom hutoa mafunzo mbalimbali ya uokoaji kwa wafanyakazi wake na wafanyakazi wa majumbani kwao ili kuwawezesha kukabiliana na ajali mbalimbali ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuhakikisha usalama wa wafanyakazi wake. Kushoto ni Mwalimu wa mafunzo hayo Bw Adam kutoka kampuni ya Knight Support Company.


Hivyo makala Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake

yaani makala yote Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/kampuni-ya-vodacom-tanzania-yatoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kampuni ya Vodacom Tanzania yatoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wafanyakazi wake"

Post a Comment