Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania

Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania
kiungo : Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania

soma pia


Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania





Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wadau mahususi wa korosho katika hotel ya Tanga Beach mjini Tanga unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza Oktoba 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri



Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dkt Charles Tizeba akizungumza katika mkutano huo unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza Oktoba 1 mwaka huu.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Hassani Jarufu akizungumza wakati wa mkutano huo



unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza 0ktoba 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri








Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania,Mama Anna Abdallah akizungumza wakati wa mkutano huo



unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza 0ctober 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri







Wasjhiriki wa mkutano huo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kulia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo



Wadau wakifuatilia makrabasha mbalimbali kwenye mkutano huo









Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo,Alhaj Majid Mwanga kushoto akifurahia jambo wakati wa mkutano huo




Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete kulia akiteta jambo na baadhi wa washiriki wa mkutano huo leo uliofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach Resort mjini Tanga









Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Mnauye akiteta jambo kabla ya kuanza kikao hicho









Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini (CCM) Hawa Ghasia akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Mlalo (CCM) Rashidi Shangazi wakati wa kikao hicho mapema leo ambao ulifunguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa




Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akisalimia na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao hicho




Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto ,Ummy Mwalimu akisaliana na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kabla ya kuanza mkutano huo




Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete














Sehemu wa washiriki wa mkutano huo wakifuatilia matukio mbalimbali


Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akifuatilia kwa umakini mkutano huo



Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini




Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Mathew Mtigumu katikati akimsikiliza kwa umakini Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi wakati wa kikao hicho kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Mazingira,Januari Makamba



Baadhi ya washiriki wakiendena na mkutano


Sehemu ya washirki wakifuatilia mkutano huo

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa katika akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo leo

Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.


Hivyo makala Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania

yaani makala yote Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/matukio-waziri-mkuu-mhe-kassim-majaliwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania"

Post a Comment