MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU

MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU
kiungo : MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU

soma pia


MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU

Katika kuboresha huduma za kibenki nchini Maendeleo Bank lao imetoa zawadi kwa washinidi wake wanne wa droo ya kwanza ya bahati nasibu ya ‘Maendeleo pamoja na wewe’ iliyochezeshwa tarehe 31/8/2017 Jijini Dar es salaamHafla ya kuwapatia washindi hao zawadi ilifanyika leo katika ukumbbi wa ‘Mviringo hall’ uliopo makao makuu ya Benki hiyo ‘Luther House’ posta Jijini hapa ambapo washindi hao wanne walijishindia zawadi tofauti tofauti ikiwemo Ada za shule, tani za Saluji,Mabati pamoja na kiwanja, 
Akizungumza katika hafla hiyo fupi mkuu wa kitengo cha biashara Maendeleo Bank Peter Tarimo amesema katika kuhakikisha Maendeleo Bank inakuwa karibu na wateja wao imeamua kuwahamasisha hasa wazazi kufungua Account za Benki kwa ajili ya watoto wao ili kuweza kuwajengea utamaduni wa kuhifadhi fedha
“Mtakumbuka kuwa kampeni hii ilizinduliwa mwanzoni mwa mwezi wa nane na wateja wengi walishiriki, Droo ilichezeshwa chini ya usimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha (Gaming Board) na kuwapata washindi hawa wanne ambao leo tunakwenda kuwakabidhi zawadi zao” 
Aidha tarimo aliongeza kuwa Droo ya pili ya bahati na sibu hiyo inatarajiwa kuchezeshwa mwezi wa Novemba mwaka huu na ya tatu itakuwa mwezi Disemba ili kupisha zoezi la uuzaji wa Hisa litakaloanza tarehe 18/9/2017 na kutarajiwa kumalizika mwezi October 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU

yaani makala yote MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/maendeleo-bank-yawazawadia-wateja-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAENDELEO BANK YAWAZAWADIA WATEJA WAKE YAWAKABIDHI WASHINDI ZAWADI ZAO BAADA YA BAHATI NASIBU"

Post a Comment