KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE.

KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE.
kiungo : KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE.

soma pia


KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE.

Image result for ezekiel maige images
Kauli ya Mbunge kufuatia Acacia kupunguza shughuli zake Bulyanhulu


Nimepata taarifa ya Acacia kupunguza shughuli zake BULYANHULU na hivyo kuleta tiahio la madhara ya kiuchumi kwa wafanyakazi zaidi ya 1,200; wakandarasi zaidi ya 800 na wananchi kaka maelfiu Kakola na maeneo jirani. Hali hii haipaswi kuachwa hivi hivi. 

My immediate reaction kwa hali hii ni KUIOMBA SERIKALI IRUHUSU WANANCHI AMBAO NI WACHIMBAJI WADOGO KWA MAISHA YAO YOTE, WAANZE KUCHIMBA REEF 2 na maeneo mengine yenye madini ndani ya leseni ya Acacia pembeni ya mgodi ili maisha yaendelee. 

Ni vema pia seriklai ikasimamia kuhakikisha haki za wananchi, hasa wafanyakazi na wakandarasi wenye mikataba zinalindwa wakati huu. Serikali isiwaache wafanyakazi wakafanyiwa anachopenda mwekezaji. Ni muhimu SERIKALI ifanye hivyo ili wajue there are consequences for any action they take.
 
Nawasihi wananchi wangu (hasa wafanyakazi, wakandarasi na wengine ambao wamepata madhara ya moja kwa moja) tuendelee kuwa watulivu tukiamini Mazungumzo yanayoendelea kati ya SERIKALI na Barrick yatapelekea haki zetu zilizoporwa siku zote kurejeshwa na neema endelevu kupatikana.
 
Mawasiliano rasmi kati ya ofisi yenu (ya Mbunge) na SERIKALI kuhusu maombi mnayopenda SERIKALI iyafanyie kazi kwa jinsi mambo yanavyokwenda yanafanyika. 


source:- JF


Hivyo makala KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE.

yaani makala yote KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kuhusu-kampuni-ya-acacia-kupunguza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUHUSU KAMPUNI YA ACACIA KUPUNGUZA MAKINIKIA MBUNGE WA CCM ENEO LA MAKINIKIA AWAFUNGUKIA LIVE."

Post a Comment