SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI

SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI
kiungo : SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI

soma pia


SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI

Mwambawahabari
Mbunge wa jimbo la Momba (CHADEMA) Mheshimiwa David Silinde amefunguka na kutoa sababu kuu iliyopelekea wabunge wa upinzani leo kususia zoezi la uapishwaji wa wabunge saba wa CUF na kusema wao wamefanya maamuzi hayo kupinga bunge kutumika na serikali 

Silinde amedai kuwa Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekuwa likikandamizi upinzani lakini pia limekuwa halifuati sheria za nchi kitu ambacho wao wanaona siyo sawa ndiyo maana wameamua kususia zoezi la uapishwaji wa baadhI ya wabunge hao wa CUF. 

"Kama ambavyo leo mmetuona hatujaingia wakati wa kuapishwa kwa baadhi ya wabunge na sababu kubwa ya kutoingia ni kwamba tunapinga bunge kutumika na serikali kukandamiza upinzani pili kutofuata sheria za nchi na jambo la tatu na kubwa kuliko yote ni kwamba tunawaunga mkono wabunge wote waliondolewa na hatufurahii, kuna vitu vikubwa sisi tunekuwa tukikasirika navyo kama serikali ku- entetain maamuzi katika chama ambacho kipo kwenye mgogoro kwamba unapendelea upande mmoja unaacha upande mwingine" alisema Silende 

Aidha Silinde aliendelea kudai kuwa " Hiyo ndiyo tumekuwa tukipigania siku zote hatutaki bunge kuendelea kutumika tunataka kuwa na bunge imara waone mifano kama ilivyotokea kule Kenya kama mahakama inaweza kusimama peke yake tunataka na bunge letu liendelee kusimama peke yake" alisisitiza Silinde


Hivyo makala SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI

yaani makala yote SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/silinde-tunapinga-bunge-kutumika-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SILINDE :TUNAPINGA BUNGE KUTUMIKA NA SERIKALI"

Post a Comment